Categories
Music

New Music: Smile The Genius – Anakudanganya

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Smile the Genius, wimbo unaitwa “Anakudanganya”. Wimbo umetayarishwa na producer Cat P.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

 

Categories
Music

New Music: Rico Single ft. Smile The Genius & Black Fit – Bend Over

Kutokea visiwani Zanzibar, wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Rico Single. Wimbo unaitwa “Bend Over”, akiwa amewashirikisha Smile The Genius na Black. Wimbo umetayarishwa na producer na Aloneym katika studio za Island Records.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

Categories
E! News

Picha: Smile The Genius achaguliwa kuwa balozi wa taulo za kike (Pedi)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Smile the Genius amepata dili la kuwa balozi wa kugawa taulo za kike (Pedi) katika shule mbali mbali nchini Tanzania.
Smile alitangazwa rasmi jana na kampuni inayosimamia mradi huo ambapo amechaguliwa yeye na mchekeshaji maarufu nchini MC Pilipili, ambapo mradi huo ulifunguliwa rasmi katika wilaya ya Kisarawe mbele ya mgeni rasmi mkuu wa wilaya hiyo Jokate Mwegelo.
Akizungumza na Zenji255 Smile amesema kuwa kwa upande wake ameshukuru kwa heshima aliyopewa na kusema amekubali kuwa balozi wa mradi huo si kwa kuwa amepata dili ambalo litamlipa, lakini yeye anaichukulia kama harakati ya kuwakomboa watoto wa kike katika changamoto wanapokuwa katika masomo yao.
Zenji255 inatoa pongezi kwa msanii Smile kwa hatua aliyofikia. Angalia picha hapo chini Smile akiwa na Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Mhe. Jokate Mwegelo.
Categories
Music

New Music: Abramy The Voice x Smile TheGenius – Kunywa

Kwa muda mrefu wasanii waliokuwa wakifanya kazi kwa pamoja chini ya mwamvuli wa wavanilla kabla ya kuvunjika Abramy na Smile wasaniii hawa hawakufanya kazi ya pamoja kwa muda mrefu sasa wamekuja na wimbo mpya uitwao kunywa wimbo umetayarishwa katika kiwanda cha muziki serious music chini ya mtayarishaji Chidy Master
sikiliza kisha tupe maoni yako je unadhani kunahaja ya wavanilla kurudi

Categories
Music

New Music: Smile The Genius – X Wangu

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki Smile The Genius, wimbo unaitwa “X Wangu”. Wimbo umetayarishwa na producer Master kutoka studio za Seriuos Music.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako

 

Categories
Videos

New Video: Smile TheGenius – Bukheri

Baada ya kuachia wimbo mpya unaitwa “Bukheri” bonyeza hapa kama bado hujaupata, Smile TheGenius anakukaribisha kuangalia video ya wimbo huo. Video imetayarishwa na Director Adam Juma.

Angalia video na utoe maoni yako

Categories
Music

New Music: Smile The Genius – Bukheri

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Smile the genius anawakaribisha kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa “Bukheri”. Wimbo umetayarisha na producer Chidy Master katika studio Serious Music.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

 

Categories
Music

New Music: Smile – Fuku Fuku

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Smile The Genius unaitwa “Fuku Fuku”. Wimbo umetayarishwa na producer Fleva Noma na Bonga.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

 

Categories
Videos

New Video: Smile The Genius – Sina Hali

Baada ya Ti Amo, hii hapa ni video ya wimbo wake mpya unaitwa “Sina Hali” kutoka kwa msanii wa muziki Smile the Genius. Video imetayarishwa na Director Adam Juma.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako.

Categories
Music

New Music: Smile The Genius – Sare Sare

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Smile The genius, ameachia wimbo wake mpya unaitwa’Sare Sare’. Wimbo umetayarishwa na Producer Bunny Music.

Sikiliza hapo chini na utoe maoni yako.