Categories
Videos

New Video: DJ Waiz ft. Mr. T Touch & M2The P – Nilewe

Baada ya kuachia wimbo wake mpya wa “Nilewe” bonyeza hapa kuipata. DJ Waiz ameachia video ya wimbo huo mpya akiwa amemshirikisha Mr. T Touch na M2The P. Video imetayarishwa na director Eddy.

Iangalie video hiyo na utoe maoni yako

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.