Categories
Awards

Zenji255 Music Awards: Hawa hapa ni washindi kwa 2018/19

Baada ya mchakato wa mzunguko wa kwanza na wa pili wa kupiga kura katika kinyang’anyiro cha Zenji255 Music Awards kwa 2018/19. Matokeo haya yanatokana na kura zilizopigwa na watembeleaji katika mtandao wa www.zenji255.com na washindi hawakuchaguliwa na majaji yoyote bali ni kutokana na wingi wa kura alizopigiwa kupitia mtandaoni.

Yafuatayo ni majina ya washindi na vipengele walivyoshinda.

1. MSANII BORA WA KIUME: ISON MISTARI

2. MSANII BORA WA KIKE: FAAY BABY

3. MSANII BORA CHIPUKIZI: MUSLEE

4. WIMBO BORA: TI AMO – SMILE

5. VIDEO BORA: MILLION DOLLAR LOVE – WIZ D

6. kundi bora: the mutic

7. studio bora: ACTION MUSIC

8. MTAYARISHAJI BORA: fleva noma

Categories
Awards

5 Bora: Studio Bora (raundi ya pili)

Baada ya kumaliza raundi ya kwanza ya tuzo za Zenji255 Music Awards, endelea kuipigia kura studio bora kwa mwaka 2018/19 ili iweze kutwaa tuzo hizi. Hii fainali ya mwisho ambapo mshindi mmoja atapatiwa zawadi ya *tuzo na cheti*.

Mwisho wa kupiga katika raundi hii ya fainali ni tarehe 26 ambapo 27 matokeo yatatangazwa kupitia www.zenji255.com na mitandao yetu ya kijamii na makabidhiano ya zawadi yatakuwa tarehe 1 Machi 2019.

*=Zawadi nyingine kutangazwa baadae

Categories
Awards

2 Bora: Kundi Bora (raundi ya 2)

Baada ya kumaliza raundi ya kwanza ya tuzo za Zenji255 Music Awards, endelea kulipigia kura kundi bora kwa mwaka 2018/19 ili waweze kutwaa tuzo hizi. Hii fainali ya mwisho ambapo mshindi mmoja atapatiwa zawadi ya *tuzo na cheti*.

Mwisho wa kupiga katika raundi hii ya fainali ni tarehe 26 ambapo 27 matokeo yatatangazwa kupitia www.zenji255.com na mitandao yetu ya kijamii na makabidhiano ya zawadi yatakuwa tarehe 1 Machi 2019.

*=Zawadi nyingine kutangazwa baadae

Categories
Awards

5 Bora: Video Bora (raundi ya pili)

Baada ya kumaliza raundi ya kwanza ya tuzo za Zenji255 Music Awards, endelea kuipigia kura video bora kwa mwaka 2018/19 ili aweze kutwaa tuzo hizi. Hii fainali ya mwisho ambapo mshindi mmoja atapatiwa zawadi ya *tuzo na cheti*.

Mwisho wa kupiga katika raundi hii ya fainali ni tarehe 26 ambapo 27 matokeo yatatangazwa kupitia www.zenji255.com na mitandao yetu ya kijamii na makabidhiano ya zawadi yatakuwa tarehe 1 Machi 2019.

*=Zawadi nyingine kutangazwa baadae

Categories
Awards

5 Bora: Wimbo Bora (raundi ya 2)

Baada ya kumaliza raundi ya kwanza ya tuzo za Zenji255 Music Awards, endelea kumpigia kura mtayarishaji bora kwa mwaka 2018/19 ili aweze kutwaa tuzo hizi. Hii fainali ya mwisho ambapo mshindi mmoja atapatiwa zawadi ya *tuzo na cheti*.

Mwisho wa kupiga katika raundi hii ya fainali ni tarehe 26 ambapo 27 matokeo yatatangazwa kupitia www.zenji255.com na mitandao yetu ya kijamii na makabidhiano ya zawadi yatakuwa tarehe 1 Machi 2019.

*=Zawadi nyingine kutangazwa baadae

Categories
Awards

5 Bora: Mtayarishaji Bora (raundi ya 2)

5 Bora: Msanii bora Chipukizi (raundi ya 2)

Baada ya kumaliza raundi ya kwanza ya tuzo za Zenji255 Music Awards, endelea kumpigia kura msanii bora chipukizi kwa mwaka 2018/19 ili aweze kutwaa tuzo hizi. Hii fainali ya mwisho ambapo mshindi mmoja atapatiwa zawadi ya *tuzo na cheti*.

Mwisho wa kupiga katika raundi hii ya fainali ni tarehe 26 ambapo 27 matokeo yatatangazwa kupitia www.zenji255.com na mitandao yetu ya kijamii na makabidhiano ya zawadi yatakuwa tarehe 1 Machi 2019.

*=Zawadi nyingine kutangazwa baadae

Categories
Awards

3 Bora: Msanii bora wa Kike (raundi ya 2)

Baada ya kumaliza raundi ya kwanza ya tuzo za Zenji255 Music Awards, endelea kumpigia kura msanii bora wa kike kwa mwaka 2018/19 ili aweze kutwaa tuzo hizi. Hii fainali ya mwisho ambapo mshindi mmoja atapatiwa zawadi ya *tuzo na cheti*.

Mwisho wa kupiga katika raundi hii ya fainali ni tarehe 26 ambapo 27 matokeo yatatangazwa kupitia www.zenji255.com na mitandao yetu ya kijamii na makabidhiano ya zawadi yatakuwa tarehe 1 Machi 2019.

*=Zawadi nyingine kutangazwa baadae

Categories
Awards

5 Bora: Msanii bora wa kiume (raundi ya 2)

Baada ya kumaliza raundi ya kwanza ya tuzo za Zenji255 Music Awards, endelea kumpigia kura msanii bora wa kiume kwa mwaka 2018/19 ili aweze kutwaa tuzo hizi. Hii fainali ya mwisho ambapo mshindi mmoja atapatiwa zawadi ya *tuzo na cheti*.

Mwisho wa kupiga katika raundi hii ya fainali ni tarehe 26 ambapo 27 matokeo yatatangazwa kupitia www.zenji255.com na mitandao yetu ya kijamii na makabidhiano ya zawadi yatakuwa tarehe 1 Machi 2019.

*=Zawadi nyingine kutangazwa baadae

Categories
Awards

Zenji255 Music Awards 2018/19: Studio Bora

Msimu wa pili wa tuzo za muziki za Zenji255 umerudi tena. Ipigie kura studio bora iliyofanya vizuri kwako kwa muda wa mwaka mzima wa 2018/19. Katika upigaji kura wa tuzo za muziki za Zenji255 kunakuwa na mizunguko miwili.

Mzunguko wa kwanza hushindanisha washiriki walioleta nyimbo zao katika blog ya Zenji255 kwa mwaka 2018, na kupigiwa kura ili kupita katika mzunguko wa pili ya tano bora na baadae katika tano bora huchaguliwa mmoja ambaye ni mshindi.

Jinsi ya kuipigia kura studio bora bonyeza katika jina la studio na hapo utakuwa tayari ushampigia kura. Mwisho wa kupiga kura kwa mzunguko wa kwanza ni Februari 1, 2019.

Categories
Awards

Zenji255 Music Awards 2018/19: Kundi Bora

Msimu wa pili wa tuzo za muziki za Zenji255 umerudi tena. Mpigie kura kundi bora lililofanya vizuri kwako kwa muda wa mwaka mzima wa 2018/19. Katika upigaji kura wa tuzo za muziki za Zenji255 kunakuwa na mizunguko miwili.

Mzunguko wa kwanza hushindanisha washiriki walioleta nyimbo zao katika blog ya Zenji255 kwa mwaka 2018, na kupigiwa kura ili kupita katika mzunguko wa pili ya tano bora na baadae katika tano bora huchaguliwa mmoja ambaye ni mshindi.

Jinsi ya kulipigia kura kundi bora bonyeza katika jina na picha yake na hapo utakuwa tayari ushampigia kura. Mwisho wa kupiga kura kwa mzunguko wa kwanza ni Februari 1, 2019.

Categories
Awards

Zenji255 Music Awards 2018/19: Mtayarishaji Bora

Msimu wa pili wa tuzo za muziki za Zenji255 umerudi tena. Mpigie kura mtayarishaji bora aliyefanya vizuri kwako kwa muda wa mwaka mzima wa 2018/19. Katika upigaji kura wa tuzo za muziki za Zenji255 kunakuwa na mizunguko miwili.

Mzunguko wa kwanza hushindanisha washiriki walioleta nyimbo zao katika blog ya Zenji255 kwa mwaka 2018, na kupigiwa kura ili kupita katika mzunguko wa pili ya tano bora na baadae katika tano bora huchaguliwa mmoja ambaye ni mshindi.

Jinsi ya kumpigia kura mtayarishaji bora bonyeza katika jina na picha yake na hapo utakuwa tayari ushampigia kura. Mwisho wa kupiga kura kwa mzunguko wa kwanza ni Februari 1, 2019.

Categories
Awards

Zenji255 Music Awards 2018/19: Video Bora

Msimu wa pili wa tuzo za muziki za Zenji255 umerudi tena. Ipigie kura video bora iliyofanya vizuri kwako kwa muda wa mwaka mzima wa 2018/19. Katika upigaji kura wa tuzo za muziki za Zenji255 kunakuwa na mizunguko miwili.

Mzunguko wa kwanza hushindanisha washiriki walioleta nyimbo zao katika blog ya Zenji255 kwa mwaka 2018, na kupigiwa kura ili kupita katika mzunguko wa pili ya tano bora na baadae katika tano bora huchaguliwa mmoja ambaye ni mshindi.

Jinsi ya kupigia kura video bora bonyeza katika jina na picha ya video na hapo utakuwa tayari ushampigia kura. Mwisho wa kupiga kura kwa mzunguko wa kwanza ni Februari 1, 2019.

Categories
Awards

Zenji255 Music Awards 2018/19: Msanii Bora wa Kike

Msimu wa pili wa tuzo za muziki za Zenji255 umerudi tena. Mpigie kura msanii bora wa kike aliyefanya vizuri kwako kwa muda wa mwaka mzima wa 2018/19. Katika upigaji kura wa tuzo za muziki za Zenji255 kunakuwa na mizunguko miwili.

Mzunguko wa kwanza hushindanisha washiriki walioleta nyimbo zao katika blog ya Zenji255 kwa mwaka 2018, na kupigiwa kura ili kupita katika mzunguko wa pili ya tano bora na baadae katika tano bora huchaguliwa mmoja ambaye ni mshindi.

Jinsi ya kupiga mchague msanii bora wa Kike na ubonyeze katika jina lake na hapo utakuwa tayari ushampigia kura. Mwisho wa kupiga kura kwa mzunguko wa kwanza ni Februari 1, 2019.

Categories
Awards

Zenji255 Music Awards 2018/19: Wimbo Bora

Msimu wa pili wa tuzo za Zenji255 umerudi tena. Mpigie kura Wimbo bora ambao uliofanya vizuri kwako kwa muda wa mwaka mzima wa 2018/19. Katika upigaji kura wa tuzo za Zenji255 kunakuwa na mizunguko miwili.

Mzunguko wa kwanza hushindanisha washiriki walioleta nyimbo zao katika blog ya Zenji255 kwa mwaka 2018, na kupigiwa kura ili kupita katika mzunguko wa pili ya tano bora na baadae katika tano bora huchaguliwa mmoja ambaye ni mshindi.

Jinsi ya kupiga kura, bonyeza jina la mshiriki na wimbo wake hapo chini na hapo utakuwa tayari ushampigia kura. Mwisho wa kupiga kura kwa mzunguko wa kwanza ni Februari 1, 2019.

Categories
Awards

Zenji255 Music Awards 2018/19: Msanii bora wa Kiume

Msimu wa pili wa tuzo za Zenji255 umerudi tena. Mpigie kura msanii bora wa kiume aliyefanya vizuri kwako kwa muda wa mwaka mzima wa 2018/19. Katika upigaji kura wa tuzo za Zenji255 kunakuwa na mizunguko miwili.

Mzunguko wa kwanza hushindanisha washiriki walioleta nyimbo zao katika blog ya Zenji255 kwa mwaka 2018, na kupigiwa kura ili kupita katika mzunguko wa pili ya tano bora na baadae katika tano bora huchaguliwa mmoja ambaye ni mshindi.

Jinsi ya kupiga mchague msanii bora wa Kiume na ubonyeze katika jina lake na hapo utakuwa tayari ushampigia kura. Mwisho wa kupiga kura kwa mzunguko wa kwanza ni Februari 1, 2019.

Categories
Awards

Zenji255 Music Awards 2018/19: Msanii bora Chipukizi

Msimu wa pili wa tuzo za Zenji255 umerudi tena. Mpigie kura msanii bora Chipukizi ambaye aliyefanya vizuri kwako kwa muda wa mwaka mzima wa 2018/19. Katika upigaji kura wa tuzo za Zenji255 kunakuwa na mizunguko miwili.

Mzunguko wa kwanza hushindanisha washiriki walioleta nyimbo zao katika blog ya Zenji255 kwa mwaka 2018, na kupigiwa kura ili kupita katika mzunguko wa pili ya tano bora na baadae katika tano bora huchaguliwa mmoja ambaye ni mshindi.

Jinsi ya kupiga kura, bonyeza jina la mshiriki hapo chini na hapo utakuwa tayari ushampigia kura. Mwisho wa kupiga kura kwa mzunguko wa kwanza ni Februari 1, 2019.

Categories
Awards

Zenji255 Awards 2018/19

Awamu ya pili ya tuzo za Zenji255 kwa mwaka 2018/19 kurudi tena  mwaka huu ambazo zinatarajiwa kuanza hivi karibuni.

Katika tuzo hizo zitakuwa zinawatunuku wasanii wa muziki wa kizazi kipya ambao wanaofanya kazi zao katika visiwa vya Unguja na Pemba ikiwa ni mara pili kwa mwaka 2019 kufanyika ambapo mwaka 2018 zilifanyika tuzo na kuweza kupata washindi, bonyeza hapa kuona vipengele na washindi wa 2018.

Tuzo za Zenji255 huwa zinafanyika kila mwaka kuanzia mwezi Disemba hadi Februari ambapo huwa zinafanyika kwa awamu mbili ikiwemo raundi za mtoano. Ambapo raundi ya kwanza huchukua washiriki wote walioleta nyimbo/video katika blog ya Zenji255.com na ambapo washindi 5 watakaopita raundi ya kwanza huenda fainal na kumtafuta mshindi 1.

Kwa mwaka 2019 vipengele vitakavyokuwemo kwa awamu hii ni

  1. Video Bora
  2. Wimbo Bora
  3. Msanii Bora wa Kiume
  4. Msanii Bora wa Kike
  5. Studio Bora
  6. Mtayarishaji Bora
  7. Kundi Bora
  8. Mtunzi Bora
  9. Wimbo bora wa Kushirikiana
  10. Chipukizi Bora

Categories
Awards E! News

Best Of Zenji255: Hafla ya ugawaji wa tuzo

Kwanza, tunapenda kuomba radhi kwa kuchelewesha matokeo. Data za Zenji255 zinahifadhiwa katika mitambo iliyopo Dar-es-Salaam na kwa bahati hivi juzi alhamis kulitokea hitilafu ya umeme na kuunguza baadhi ya server nakufanya tukose kutoa taarifa zetu za kila siku.

Pili, tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa wale waliohudhuria katika hafla yetu ya ugawaji wa tuzo za Best Of Zenji255. Tunayo furaha kubwa kuwajulisha kwa mwaka huu tuzo za Best Of Zenji55 zitaanza ifikapo 10 Disemba.

Katika hafla hiyo iliyofanyika siku ya Ijumaa katika chuo cha muziki kutokea Zanzibar DCMA, iliyohudhuriwa na watangazaji mbali mbali wa vipindi vya burudani hapa Zanzibar, Mkurugenzi wa chuo cha muziki cha DCMA na mwakilishi wa marehemu Mitchel Strumpf ambae alikuwa ni mvumbuzi wa blog hii, Luis.

Angalia hapo chini baadhi ya picha za hafla hiyo ya ugawaji wa tuzo za Best Of Zenji255.

This slideshow requires JavaScript.

Categories
Awards E! News

Best Of Zenji255: Hawa hapa ni washindi

Zenji255 inapenda kutoa shukrani za dhati kwa watembeleaji wote ambao walioshiriki katika upigaji wa kura juu ya wasanii wao. Shukrani pia kwa wasanii wote wa muziki hapa Zanzibar  kwa kutoa hamasa kwa mashabiki wao ili kupigiwa kura.

Shukrani pia kwa vyombo vyote habari, watangazaji wa vipindi vya burudani wote, chama cha wasanii wa muziki wa kizazi kipya (ZFU) hapa Zanzibar kwa kuweza kuipa nguvu jambo hili na kulitangaza kwa hali na mali.

Shukrani kwa wale waliofanikisha tuzo kwa njia moja ama nyingine  na kwa msaada wa njia mbali mbali. Ugawaji wa tuzo utafanyika siku Ijumaa, 2 Februari. Tunasema ahsanteni sana na huu sio mwisho bali ni mwanzo.

Tunapenda kutoa matokeo ya washindi ambao walioshinda katika tuzo za Best Of Zenji255 kwa mwaka 2017/18, ambapo kulikuwa na vipengele 8 na kila kipengele kilikuwa na raundi 2 kwa raundi ya kwanza kilikuwa na washiriki wengi lakini kwa raundi ya pili tulichukua washiriki 5 tu.

Matokeo haya ni uchaguzi wa watembeleaji pamoja na wasanii wenyewe na sio uchaguzi wa Zenji255. Zenji255 haikushiriki katika upigaji wa kura wala kupanga matokeo.

Haya hapa ni matokeo ya washindi wa tuzo za Best Of Zenji255.

STUDIO BORA: MANDEVU RECORDS

MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA: LUMMIE

MSANII BORA CHIPUKIZI: BOY WIZ

WIMBO BORA: FLY GIRL – WIZ D FT. ALPHA

KUNDI BORA: WATATU FLAVOR

MSANII BORA WA KIKE: HONEY ELLA

MSANII BORA WA KIUME: WIZ D

VIDEO BORA: NANI NILIMKOSEA – ISON MISTARI