Categories
Videos

{Video}: Godzilla – Get High

Msanii wa Hip-Hop Godzilla ameachia video yake mpya ya wimbo unaitwa ‘GET HIGH‘, video imeongozwa na kampuni ya Shine Video Production

Categories
Videos

{Video}: Dayna Nyange – Angejua

Msanii Dayna Nyange ameachia video ya wimbo ‘Angejua’. Video imeandaliwa na kampuni ya Kwetu Studios chini ya director Msafiri Shabani

Categories
E! News

Wiz khalifa amtishia maisha Kanye West

Wakati Wiz Khalifa akiwa katika ukimya usiojulikana, na huku upande mwingine Kanye West akiwa anajitetea katika mtandao wa Twitter kuyajibu maneno makali yanayotoka kwa mrembo Amber Rose.

‘Kanye ataipata adhabu yake’ aliyasema hayo akiwa stejini ambapo kwa sasa yupo katika safari za kufanya maonyesho yake kusini mwa Marekani. Pia Wiz alionekana akimjibu Kanye West kiaina yake na kumwambia ‘bora ujitayarishe kukimbia, kwani tunakuja kwa ajili yako’.

Wakati yakiendelea hayo kati ya Wiz Khalifa na Kanye West, mwanadada Amber Rose alikuwa akipokea salamu nyingi kutoka kwa aliyekuwa mchumba wake, Kanye West kupitia Twitter.

https://twitter.com/kanyewest/status/692967570740224001

https://twitter.com/kanyewest/status/692967690844127235

 

Categories
Music

Music: Chidi Yobo – My Yori Yori

Chidi Yobo ni chipukizi katika muziki wa Zenji / Bongo Fleva ambaye yupo chini ya usimamizi wa GOOD FATHER MUSIC anautambulisha wimbo aliofanya katika studio za Millenium, uliotayarishwa na Sunday Touch.

http://www.audiomack.com/song/zenji255/my-yori-yori

 

Categories
Music

Music: Nassir Vanillah – We Ndo Hakimu

Wimbo wa Nassir Vanillah kwa jina la We ndio Hakimu. Wimbo umefanywa katika studio za Mi8 na mtayarishaji Imami8.

Categories
Videos

Video: Trey Songz feat. Dave East, Mike x Angel, DJ Drama – Everybody Say

Trey Songz is back with a video for “Everybody Say” off his November mixtape To Whom It May Concern. This time around, Trigga calls Dave East, MIKE x ANGEL, and DJ Drama for the fun-filled clip. He flaunts his gold grill, stacks his cash, and surrounds himself with bad chicks, who take sips of his SX Liquors.

Categories
Music

Music: Hemedy feat. Sultan King – Taire

Taire ni wimbo uliotayarishwa na kijana Imami8 katika studio za Minane, Zanzibar. Hemedy ndie msanii wa wimbo huo na amemshirikisha Sultan King. Sikiliza hapa

http://www.audiomack.com/song/zenji255/taire

 

Categories
Music

New Music: Huzza B ft. Haule – Take Care

Rapa Huzza B ameachia wimbo wake mpya unaoitwa ‘Take Care akiwa amemshirikisha Haule. Wimbo umetengenezwa katika studio za Melanin Media na Producer Bonge Jr.