Categories
E! News

Wiz D atembelea Ngorongoro, Arusha

Ikiwa ni moja ya kampeni ya Serikali ya jamhuri wa muungano ya Tanzania kuutangaza utalii wa ndani msanii wa muziki kutokea visiwani Zanzibar Wiz D ameamua kuwa mfano kwa Watanzania kwa kutembelea vivutio hivyo vya utalii.

Wiz D ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo ‘Body’ aliambatana na marafiki zake na  kutembelea katika mbuga ya wanyama ya Ngorongoro iliyopo mkoani Arusha.

Angalia picha za msanii huyo akiwa matembezi hayo mbugani hapo.

Categories
Videos

New Video: Smile The Genius – Murika

Hii hapa ni video mpya ya msanii Smile The Genius, na kama hujaupata wimbo wake bonyeza hapa. Video ya wimbo huo unaitwa “Murika”, video imetayarishwa na director Creator 5.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako.

Categories
Music

New Music: Smile The Genius – Murika

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa kizazi kipya Smile the Genius, wimbo unaitwa “Murika”. Wimbo umetayarishwa na producer Chidy Master.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

 

Categories
E! News

Fanny apata shavu la kufungua Fiesta Mwanza

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea visiwani Zanzibar, Fanny amepata nafasi ya kushiriki katika ufunguzi wa Tamasha la Fiesta linalosimamiwa na kampuni ya Clouds Media chini ya redio ya Clouds FM.

Kwa mwaka 2019 Fiesta itafanyika katika mkoa wa Mwanza na ambapo Fanny atakuwa katika list ya ufunguzi huo.

Akizungumza na Zenji255, Fanny amesema anafuraha kubwa sana kupata nafasi hiyo kwani kwa muda mrefu sana muziki wa Zanzibar kwenye tamasha la Fiesta haukusikika na kwa mkoa wa Mwanza ni pahala pake kuupeleka muziki wa Zanzibar.

“Hakuna kitu kizuri kama kuiwakilisha sehemu unayotokea unapokuwa ugenini, na mimi nafurahi sana kuwa nitakuwa wa kwanza kuutangaza muziki wa Zanzibar urudi katika ile nafasi yake ya zamani ambayo ilisahaulika kwa muda mrefu katika Fiesta” – Fanny

Fanny ameongeza kuwa “Nawaahidi wazanzibari na wasanii wenzangu kwamba sitowaangusha na nitahakikisha bendera ya Zanzibar inapepea kisawasawa. Kikubwa tupeane sapoti kwani hakuna kitu kizuri kama tukiwa pamoja na kushirikiana kupeleka muziki wetu duniani”

Categories
Music

New Music: Amoury – Umenoga

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Amoury, wimbo unaitwa “Umenoga”. Wimbo umetayarishwa na producer Shirko studio za Shirko Media.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

 

Categories
Videos

New Video: Wiz D – Body

Msanii wa muziki wa kizazi kipya ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa “Body”. Video imetayarishwa na director Earth Prince.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako.

Categories
Music

New Music: Alatish Mabawa ft. Sultan King – Kipepeo

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Alatish Mabawa ameachia wimbo wake mpya unaitwa “Kipepeo” akiwa amemshirikisha Sultan King, wimbo umetayarishwa katika studio za Action Music na producer Chilly K.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

 

Categories
Music

New Music: Polandy TheGenius ft. Hemedy Music – Sauna

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Polandy TheGenius, wimbo unaitwa “Sauna” akiwa amemshirikisha Hemedy Music. Wimbo umetayarishwa na producer Stoppa kutoka studio za MK Records.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

 

Categories
Music

New Music: Sapna – Nimekukabidhi

Mwanadada wa muziki wa kizazi kipya Sapna ameachia wimbo wake mpya unaitwa “Nimekukabidhi”. Wimbo umetayarishwa na producer Chidy Master kutoka studio za serious music.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

 

Categories
Videos

New Video: DJ Waiz – Yebo

Msanii wa muziki wa kizazi kipya DJ Waiz ameachia video ya wimbo mpya unaitwa “Yebo”.

Angalia video na utoe maoni yako.

Categories
Videos

New Video: Alatish Mabawa ft. Chillah – Dede

Alatish Mabawa anawakaribisha kuangalia video ya wimbo wake mpya unaitwa “Dede” akiwa amemshirikisha Chillah. Video imetayarishwa na Kwetu studio.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako.

Categories
Music

New Music: Mh. Temba ft. TMK Wanaume & Kisamaki – Kiboss boss

Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Mh. Temba ameachia wimbo mpya unaitwa “Kiboss Boss” akiwa amewashirikisha TMK Wanaume na Kisamaki.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

 

Categories
Music

New Music: G. Nako ft budaah – Kulewa

Msanii wa muziki G.Nako ameachia wimbo wake mpya akiwa amemshirikisha Budaah, wimbo unaitwa “Kulewa”.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

 

Categories
Music

New Music: Lava Lava ft. Harmonize – Saula

Wimbo mpya kutoka kwa msanii Lava lava unaitwa “Saula” akiwa amemshirikisha Harmonize.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

 

Categories
Music

New Music: Casso TZ – Nani Wewe

Msanii wa muziki Casso TZ ameachia wimbo wake mpya unaitwa “Nani Wewe”. Wimbo umetayarishwa na Yogo Beatz.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako

 

Categories
Music

New Music: Tanasha Donna – Nah Easy

Wimbo mpya kutoka kwa mwanadada Tanasha Donna unaitwa “Nah Easy”. Sikiliza wimbo na utoe maoni yako.

 

Categories
Music

New Music: Christian Bella ft. AY & Mwana FA – Pete

Wimbo mpya kutoka kwa Christian Bella akiwa amemshirikisha AY na Mwana FA, wimbo unaitwa “Pete”.

Sikiliza wimbo na utoe maoni yako.

 

Categories
Music

New Music: G Nako ft. Nikki Wa Pili & Motra The Future – Kitonga

Wimbo mpya kutoka kwa G Nako akiwa amemshirikisha Nikki wa Pili na Motra The Future, wimbo unaitwa “Kitonga”. Wimbo umetayarishwa na producer S2Kizzy.

Sikiliza wimbo na utoe maoni yako.

 

Categories
Music

New Music: Fid Q ft. Rosa Ree – Korasi

Wimbo mpya kutoka rapa Fid Q akiwa amemshirikisha Rosa Ree, wimbo unaitwa “Korasi”. Wimbo umetayarishwa na producer Dunga katika studio za MJ Records.

Sikiliza wimbo na utoe maoni yako.

 

Categories
Music

New Music: Young Killer – Chagamaa

Wimbo mpya kutoka kwa rapa wa muziki Young Killer, wimbo unaitwa “Chagamaa”.
Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako