Zenji255 Music Awards: Hawa hapa ni washindi kwa 2018/19

0

Baada ya mchakato wa mzunguko wa kwanza na wa pili wa kupiga kura katika kinyang’anyiro cha Zenji255 Music Awards kwa 2018/19. Matokeo haya yanatokana na kura zilizopigwa na watembeleaji katika mtandao wa www.zenji255.com na washindi hawakuchaguliwa na majaji yoyote bali ni kutokana na wingi wa kura alizopigiwa kupitia mtandaoni.

Yafuatayo ni majina ya washindi na vipengele walivyoshinda.

1. MSANII BORA WA KIUME: ISON MISTARI

2. MSANII BORA WA KIKE: FAAY BABY

3. MSANII BORA CHIPUKIZI: MUSLEE

4. WIMBO BORA: TI AMO – SMILE

5. VIDEO BORA: MILLION DOLLAR LOVE – WIZ D

6. kundi bora: the mutic

7. studio bora: ACTION MUSIC

8. MTAYARISHAJI BORA: fleva noma