Zenji255 Music Awards 2018/19: Studio Bora

0

Msimu wa pili wa tuzo za muziki za Zenji255 umerudi tena. Ipigie kura studio bora iliyofanya vizuri kwako kwa muda wa mwaka mzima wa 2018/19. Katika upigaji kura wa tuzo za muziki za Zenji255 kunakuwa na mizunguko miwili.

Mzunguko wa kwanza hushindanisha washiriki walioleta nyimbo zao katika blog ya Zenji255 kwa mwaka 2018, na kupigiwa kura ili kupita katika mzunguko wa pili ya tano bora na baadae katika tano bora huchaguliwa mmoja ambaye ni mshindi.

Jinsi ya kuipigia kura studio bora bonyeza katika jina la studio na hapo utakuwa tayari ushampigia kura. Mwisho wa kupiga kura kwa mzunguko wa kwanza ni Februari 1, 2019.