Zenji255 Music Awards 2018/19: Msanii Bora wa Kike

0

Msimu wa pili wa tuzo za muziki za Zenji255 umerudi tena. Mpigie kura msanii bora wa kike aliyefanya vizuri kwako kwa muda wa mwaka mzima wa 2018/19. Katika upigaji kura wa tuzo za muziki za Zenji255 kunakuwa na mizunguko miwili.

Mzunguko wa kwanza hushindanisha washiriki walioleta nyimbo zao katika blog ya Zenji255 kwa mwaka 2018, na kupigiwa kura ili kupita katika mzunguko wa pili ya tano bora na baadae katika tano bora huchaguliwa mmoja ambaye ni mshindi.

Jinsi ya kupiga mchague msanii bora wa Kike na ubonyeze katika jina lake na hapo utakuwa tayari ushampigia kura. Mwisho wa kupiga kura kwa mzunguko wa kwanza ni Februari 1, 2019.