Categories
E! News

Wiz khalifa amtishia maisha Kanye West

Wakati Wiz Khalifa akiwa katika ukimya usiojulikana, na huku upande mwingine Kanye West akiwa anajitetea katika mtandao wa Twitter kuyajibu maneno makali yanayotoka kwa mrembo Amber Rose.

‘Kanye ataipata adhabu yake’ aliyasema hayo akiwa stejini ambapo kwa sasa yupo katika safari za kufanya maonyesho yake kusini mwa Marekani. Pia Wiz alionekana akimjibu Kanye West kiaina yake na kumwambia ‘bora ujitayarishe kukimbia, kwani tunakuja kwa ajili yako’.

Wakati yakiendelea hayo kati ya Wiz Khalifa na Kanye West, mwanadada Amber Rose alikuwa akipokea salamu nyingi kutoka kwa aliyekuwa mchumba wake, Kanye West kupitia Twitter.

https://twitter.com/kanyewest/status/692967570740224001

https://twitter.com/kanyewest/status/692967690844127235

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.