Wise Boy kuachia ‘Usiniumize’ Alhamis hii

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya wise boy amesema anajiweka sawa kuachia wimbo wake mpya ‘Usiniumize’ Alhamis Novemba 17.

wiseAkizungumza na Zenji255 Wise  Boy amesema kuwa maandalizi yote yapo tayari na kinachosubiriwa ni siku husika kufika.

“Wimbo nimeshirikiana na Hemedy Music na uongozi wangu umesharuhusu wimbo wangu utoke, kwahiyo mpaka sasa kila kitu kipo kama kilivyopangwa panapo majaaliwa Alhamis wimbo utachiwa rasmi ” amesema Wise Boy.