Wanamuziki wa Zanzibar waadhimisha siku ya Jazz (Picha)

0

Katika kuwakumbuka watu mbali mbali katika maisha ya binadamu wanamuziki wa Zanzibar wameadhimisha siku ya Jazz kwa ajili kuwakumbuka wanamuziki na wanaharakati wa muziki huo maarufu ambao waliokuwa wakifanya kazi kwa kipindi kirefu.

Kwa mwaka huu wa 2016 siku ya jumamosi bendi ya G Clef iliwaburudisha mashabiki waliokuja kuwaangalia hapo na kuweza kuwafurahisha kupitia muziki huo.

1 2 3 4 5 6