Video: Yanga yachukua ubingwa wa FA kwa kuifunga Azam 3-1

0

Vilabu vya Yanga na Azam FC vilikutana kucheza mechi ya fainali ya Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC), katika mchezo huo Azam FC ilifungwa magoli 3-1, magoli ya Yanga yakifungwa na Amissi Tambwe dakika ya 9 na 47 huku Deus Kaseke akipachika goli la mwisho, Azam FC walipata goli la kufutia machozi kupitia kwa  Kavumbagu.

Source: Millard Ayo