Video: Unataka kuwa kama Rais Magufuli? Eric Omondi anakuonesha njia za kufuata

0

Mchekeshaji maarufu kutoka Kenya, Eric Omondi ameendelea na vichekesho vyake vinavyoonesha mambo muhimu matano ambayo mtu anapaswa kuyazingatia kama unataka kuwa kama mtu fulani mkubwa anayefahamika zaidi.

Jumatano hii mchekeshaji huyo amekuletea mambo ya kuzingatia kama unataka kuwa kama rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli. Mpaka sasa mchekeshaji huyo ameshaachia video kadhaa kama hizo za watu maarufu kutoka Afrika Mashariki ikiwemo ya Diamond na Akothee.