Video Teaser: Wiz D ‘A-tease’ wimbo mpya anatarajia kuachia

0

Msanii Wiz D hivi karibuni ameachia ‘teaser’ cha video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Drop It’.

wiz d

Katika video inaonekana wakali wa zenji fleva kama Rico Single na Baby J wakiwemo katika video hiyo.

Wimbo umetengenezwa katika studio Mandevu Records na Producer Lumi na Buju. Video imetayarishwa na director Dully Smart

Angalia Sekunde 24 za Teaser hiyo hap chini.