Video: Snura afanya ‘Party’ ni baada ya kuruhusiwa video ya chura

0

Kama ikikumbukwa miezi kadhaa iliyopita msanii Snura kupitia video yake ya chura ilifungiwa na Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) ni baada ya video hiyo kuonekana imekiuka maadili ya nchi.

snura

Na hivi karibuni wizara ya habari ilitoa taarifa ya kuifungulia video hiyo baada ya kuonekana kwamba imefanyiwa marekebisho yaliyotakiwa kufanyika. Snura nae akaamua kufanya sherehe ya kuruhusiwa video hiyo akiwa na marafiki zake na kusema “Nashukuru mungu chura ametoka jela salama”.

Angalia video ya Dk 1 inayoonyesha sherehe hiyo.