Video: Mtoto wa Obama, Malia akiburudika katika tamasha la Lollapalooza Marekani

0

Wakati baba na mama wa Malia Obama wakiwa katika shughuli na pirika za kisiasa zinazoendelea nchini Marekani Mtoto Rais Obama alikutwa akiburudika kwa mara mwisho.

Mashabiki mbali mbali waliokuwepo katika tamasha ambalo linafanyika kwa siku nne nchini Marekani, walirekodi video zinazomuonyesha Malia akiwa na rafiki zake katika upande wa pili wa jukwaa akiwa anacheza wimbo wa rapa Mac Miller akiwa stejini akiimba wimbo unaomzungumzia Donald Trump.

Angalia kipande hicho cha video hapo chini