Video: Kayumba – Kipepeo

0

Msanii kutoka kwa Mkubwa na wanawe Kayumba Juma ameachia video yake mpya ya wimbo wa ‘Kipepeo’ iliyoongozwa na director Tonee Blaze.