Video: Kagera All Star Ft Baghdad – Inaanza Na Wewe (Tetemeko Kagera)

0

Wasanii wa muziki wa Kagera All Star wakishirikiana na rapa Baghdad wameandaa wimbo maalum kwa ajili ya kuwachangia wahanga wa tetemeko Kagera.