Video: Je Unataka kuwa kama Diamond? Basi fuata maelekezo haya kutoka kwa Eric Omondi

0

Eric Omondi raia wa Kenya ambaye ni moja kati ya watu waliobarikiwa vipaji vingi ikiwemo uwezo binafsi wa kuchekesha kupitia maneno na mwili wake pia, leo katusogezea mambo muhimu ambayo unapaswa kuyazingatia kama unatamani kuwa kama star wa bongo flava Nasseb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz.

Unaweza kumtazama Omondi kwenye hii video hapa chini.