Video: Jay Moe – Nisaidie Kushare

0

Jay Moe ameachia video ya ngoma yake mpya, Nisaidie Kushare. Imetayarishwa na Mr T Touch katika studio zake za Touchez Sounds na video imefanyika Durban na Petermaritzburg, Afrika Kusini na kuongozwa na Travellah wa KWETU STUDIOS.