Video: Eric Omondi akifahamisha jinsi ya kuwa Sauti Sol

0

Katika muendelezo wake wa kuwafahamisha jinsi ya kuwa mtu fulani. safari hii Mchekeshaji Eric Omondi anaelezea jinsi ya kuwa kundi la wasanii wa muziki kutoka Kenya Sauti Sol.

Angalia video hapo chini na utoe maoni yako.