Uongozi na wasanii wa Good Father Music watua Baraza la Wawakilishi kusikiliza makadirio na mapato na matumizi ya Wizara Habari, Utamaduni na Michezo

0

Uongozi wa Good Father Music na wasanii wake wametua ndani ya Baraza ya Wawakilishi Zanzibar wiki hii kwa ajili ya kusikiliza randama ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo kwa mwaka wa fedha 2016/2017.

3Good Father Music wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kikao cha baraza la wawakilishi kumaliza.