Unafikiria kwenda ‘HoneyMoon’? Hii hapa ni 10 bora ya Visiwa vyenye mvuto Duniani

0

Duniani zipo sehemu nzuri na za kuvutia zaidi, maeneo mengi ya visiwani yanawezekana yakaongoza kwa kuvutia kutokana na kuwa na mazingira mazuri ya asili yanayovutia, watu wengi hutumia maeneo haya kwa ajili ya mapumziko na utalii.

Mtandano wa TripAdvisor wametoa hii list ya Top Ten ya visiwa bora zaidi duniani kwa mwaka 2016.

  1. Maui, Hawaii

1Kisiwa kinachosifika kuwa na fukwe 80 nzuri na zenye mvuto mzuri na watu wenye makazi 131,000.

2. Santorini, Cyclades

2Kisiwa hiki kina Mabaki ya Volcano iliyolipukia kwenye bahari ya Aegean na ina beach yenye mchanga mweusi

3. Jamaica

3Jamaica haikuwa kwenye orodha ya Top ten mwaka uliopita lakini sasa imefika hadi nafasi ya tatu

4.Providenciales, Turks and Caicos

45. Bali, Indonesia

56. Majorca, Balearic Islands

67. Mauritius, Africa

78. Phuket, Thailand

89. Bora Bora, Society Islands

910. Fernando de Noronha, Brazil

10Idadi ya wageni imekuwa vikwazo katika kisiwa cha Fernando de Noronha huko Brazil lakini kisiwa hiki kimesifika kutoka UNESCO kuwa kina fukwe za kuvutia zilizojaa dolphin (Pombowe) na kobe wa baharini (Kasa).