Uliiiona picha ya Chidy Yobo kutoboa Pua?!

0

Kwa siku kadhaa zilienea taarifa za mwimbaji katika tasnia ya Zenji Fleva kuonekana katoboa pua, hii habari imepewa nguvu kutokana na picha aliyoipost Chidy Yobo mwenyewe kwenye Instagram akionekana katoboa pua.

chidy yobo

Mpaka sasa haijajulikana ni kwanini hitmaker huyo wa ‘Unadunda’ ameamua kufanya hivyo, lakini inaonekana kwa mashabiki wake kilikuwa ni kitu cha kawaida kwani walipendelea zaidi walivyoiona picha hiyo kwani hakuna hata mmoja aliyetokwa na povu.