Ukiniuliza ni filamu gani ya kuitazama ‘CINEMA’ Katika wikiendi yako hapa Zanzibar… Angalia na ‘Trailer’ zake

0
cinema

Kwa wale watu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend, sasa kama upo Zanzibar movie zinazoonyeshwa kwenye big screen weekend hii na Trailers zake zipo hapa.

The Finest Hours

I Shot Bi Kidude (Kifo cha Bi Kidude)

 

Neerja

 

Hail, Ceasar

Lazer Team