Ukaribu wa Kassim Mganga na Baby J wawatia hofu mashabiki

0

Mkali kutokea Tanga, Kassim Mganga ameingia katika vichwa vya habari katika mitandao baada ya kuwa muonekano mpya kwenye ndevu zake kuwa nyeupe na vile vile hivi karibuni kuonekana na ukaribu na Baby J.

 

 

Wiki iliyopita Kassim Mganga aliachia wimbo pamoja na video mpya alioshirikiana na mwanadada Baby J lakini moja kati vitu ambavyo sasa hivi vinavyozungumzwa ni ukiachlia mbali kufanya wimbo huo bado kuna ukaribu mwingine kati yao.

Lakini kwa upande wa Kassim Mganga amekanusha kauli hiyo na kusema kuwa yeye na Baby J ni mtu na Uncle wake.

Ulikosa kuona video ya wimbo mpya wa Kassim Mganga akiwa amemshirikisha Baby J. Angalia hapa chini.