Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar (+Picha)

0

Hapo jana Jumamosi, Mei 21 kulizinduliwa mashindano ya michezo ya vyuo vikuu na taasisi za elimu ya Juu Zanzibar na Rais wa Zanzibar, Mhe Dk. Ali Mohammed Shein na kuhudhuriwa na viongozi, walimu na wanafunzi kutoka skuli mbali mbali visiwani Zanzibar.

Angalia Baadhi ya Picha jinsi ya ilivyokuwa

h2 h3 h4 h5 h6