Katika kuadhimisha miaka 52 ya muungano wa Tanzania, wabunge na wawakilishi walikutana kupimana nguvu kwa upande wa mchezo wa netball ambapo timu ya wabunge iliwafunga timu ya wawakilishi magoli 18 kwa 14.
We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it.Ok