#TBT: Suma Kopa ft. Kira Kirami – Sister Duu (+Video)

0

Kwa mara nyingine na Alhamis nyingine ya #TBT, Suma Kopa ni msanii wa siku nyingi visiwani Zanzibar akiwa anafanya kazi za muziki wa kizazi kipya. Suma ni mmoja kati ya watoto wa muimbaji wa Taarab maarufu Afrika Mashariki ‘Khadija Kopa’. Katika harakati zake za kuanza muziki alianza kutoka na wimbo uliompatia jina visiwani na kufahamika kila sehemu kupitia wimbo wa ‘Sister Duu’ akiwa amemshirikisha Kira Kirami.

Angalia hapo chini moja ya video ya wimbo wa Sister Duu.