#TBT: Sultan King – Mahari (+Video)

0

Msanii Sultan King ndie aliyeingia katika #TBT ya leo na video ya wimbo wa ‘Mahari’. Video imetayarishwa na Amstrong dadi ‘Jupiter Videos’ na wimbo umetengenezwa na Producer Aloneym katika studio za Jupiter records.

Angalia hapo chini na utoe maoni yako