#TBT: Off Side Trick – Jibu (+Video)

0

Katika #ThrowBackThursday ya Alhamis ni kutokea kwa kundi la Offside Trick lililokuwa likiundwa na wasanii kama Mudacriss, Lil Ghetto na Tani na wimbo wao wa ‘Jibu. Video imetayarishwa na Director Adam Juma na wimbo umetengenezwa katika studio za Akhenaton na producer Lil Ghetto.