#TBT: Mantuzo ft Rico Single – Natamani (+Video)

0

Ni #TBT (Throw Back Thursday) ya msanii Mantuzo akiwa ameshirikiana na Rico Single katika video ya wimbo ‘Natamani’. Wimbo umetengenezwa katika studio ya Jupiter Records na producer Aloneym. Video imetayarishwa na director Benjamin Busungu.

Angalia hapa na utoe maoni yake