#TBT: Brother Mike – Mwambieni C (+Video)

0

Ni #ThrowbackThursday ambayo tunajikumbushia nyimbo za zamani kutoka kwa wasanii wa Zanzibar. Video ya wimbo wa ‘Brother Mike’ unaoitwa ‘Mwambieni C’ ulioachiwa mnamo miaka ya 2000. Studio iliyotayarisha wimbo huo ni ‘Heartbeat records’ chini ya Producer Allan Mapigo na Video imetengenezwa na ZIFF Production.

Angalia hapa na utoe maoni yako