#TBT: Berry Black ft Shirko & N.I – Najua (+Video)

0

Ni #ThrowBackThursday, Alhamis watu wengi huwa wanakumbukia mambo yao ya zamani kupitia kumbukumbu za picha, video na mengine mengi. Na kwa upande wa muziki wa Zanzibar, Zenji255 imeamua kukumbusha video ya msanii Berry Black ‘Najua’ aliyowashirikisha Shirko na N.I (Nigga). Video ya wimbo huu ilitoka mwaka 2008 ambapo wimbo huo ulitayarishwa katika studio za Teddy Records Zanzibar chini ya Producer Shirko na video imetayarishwa na Director Adam Juma wa Visual Lab (Next Level).

Angalia hapo chini.