Video: Tamthilia ya ‘Prison Break’ Kurudi tena (+Trailer)

0

Tamthilia ya Prison Break iliyofanya vizuri mwaka 2005 hadi 2009, inarudi tena mwakani (2017). Fox imetangaza ujio wa tamthilia hiyo ya Prison Break inarudi ikiwa na waigizaji wote kuanzia msimu wa kwanza akiwemo Michael Scofield aliyekuwa anadhaniwa amekufa na ikiwa tamthilia nzima imefanywa katika nchi ya Morocco.

Itazame Trailer yake hapo chini