Tamasha la Sauti za Busara 2017 yatoa orodha ya watakaotumbuiza, Rico Single Akiwemo

0

Baada ya kupumzika mwaka huu, tamasha la Sauti za Busara, linarejea tena mwakani. Na sasa orodha ya wasanii watakaotumbuza imetoka. Miongoni mwao vikiwemo vikundi mbali mbali vya sanaa kutokea Zanzibar.

sauti za busara
Busara People on stage at Sauti za Busara 2015 [photo Peter Bennett]

Hii ni orodha nzima ya washiriki katika tamasha hilo:

Freshlyground (South Africa); Rocky Dawuni (Ghana); Yamoto Band (Tanzania); Sarabi (Kenya); Pat Thomas & Kwashibu Area Band (Ghana); Simba & Milton Gulli (Mozambique); Jagwa Music (Tanzania); Bob Maghreb (Morocco); Karyna Gomes (Guinea Bissau); Sami Dan and Zewd Band (Ethiopia); Chibite Zawose Family (Tanzania); Rajab Suleiman & Kithara (Zanzibar); Wahapahapa Band (Tanzania); Buganda Music Ensemble (Uganda); Batimbo Percussion Magique (Burundi); Kyekyeku (Ghana); H_art the Band (Kenya); Grace Barbe (Seychelles); Roland Tchakounté (Cameroon / France);

Imena Cultural Troupe (Rwanda); Isau Meneses (Mozambique); Jessica Mbangeni (South Africa); Sahra Halgan Trio (Somaliland); Tausi Women’s Taarab (Zanzibar); CAC Fusion (Tanzania); Ze Spirits Band (Tanzania); Loryzine (Reunion); Madalitso Band (Malawi); Mswanu Gogo Vibes (Tanzania); G Clef Taarab Orchestra (Zanzibar); Afrijam Band (Tanzania); Cocodo African Music Band (Tanzania); Kiumbizi (Pemba / Zanzibar); Rico and the Band (Zanzibar); Usambara Sanaa Group (Tanzania); Mcharuko Band (Zanzibar); Taarab – Kidumbak Group