24.5 C
Zanzibar, TZ
Thursday, June 21, 2018
Home Tags ZFU

Tag: ZFU

ZFU

Laki wa Promise ateuliwa kuwa rais wa chama cha wasanii wa muziki Zanzibar (ZFU)

Jumapili ya Septemba 10 viongozi na wanachama wa chama cha wasanii wa muziki wa kipya (ZFU) walifanya uchaguzi wa kuwachagua viongozi wao wapya kwa...
zfu

Hii hapa ni mipango mipya ya ZFU juu ya wanachama wake

Uongozi wa Chama cha Wasanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Zanzibar (ZFU) unafikiria kuandaa mipango maalum ambayo itakayoweza kuwasaidia wasanii na wanachama wake kwa...
Z.F.U

Z.F.U kupambana na CCM Ofisi Kuu Ijumaa hii uwanja wa Amani

Chama cha wasanii cha muziki wa kizazi kipya Zanzibar (Z.F.U) Ijumaa hii (Feb.3) watacheza mechi ya kiurafiki na CCM Ofisi Kuu ya mkoa iliyopo...
mapinduzi

Picha: Wasanii wa Zenji Fleva walivyopamba Mkesha wa siku ya Mapinduzi Maisara

Chama cha wasanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Zanzibar jana (Januari 11) kilitoa burudani katika mkesha wa kuadhimisha siku ya Mapinduzi ya Zanzibar...
zenji fleva

Picha: Timu ya Zenji Fleva yaanza mazoezi kwa ajili ya mechi na Bongo Fleva

Timu ya wasanii Zenji Fleva leo Disemba 2 imeanza mazoezi rasmi kwa ajili ya matayarisho ya mechi kati yao na wasanii wa Bongo Fleva. Katika...
kagera

Picha: Tamasha la kuchangia waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva wameibuka washindi kwa penati tano kwa nne dhidi ya wasanii wa Bongo Movie katika mechi ya hisani kwa...

Picha: Wasanii wa Zanzibar waungana na wasanii wa Dar katika mechi ya hisani

Chama cha wasanii cha Zenji Fleva (ZFU) kimetoa baadhi ya wasanii wake na kuungana na wasanii wa Bongo Fleva ambapo watakuwa pamoja na kucheza...
pbz

Picha: PBZ wafungwa 1-0 na Z.F.U katika mechi ya hisani Uwanja wa Amani, Zanzibar

Timu ya wasani wa muziki wa kizazi kipya Zanzibar (ZFU) jana iliwafunga timu ya wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ goli 1-0...

Follow Us

2,217FansLike
1,134FollowersFollow
102FollowersFollow
162SubscribersSubscribe
Advertisement