Categories
Music

New Music: Wiz D ft. Taly – Hapo

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Wiz D ameufungua kwa kuachia wimbo wake mpya unaitwa “Hapo” akiwa amemshirikisha mwanadada Taly. Wimbo umetayarishwa na producer Bonge Jr. kutokea studio za Furaha Records.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

 

Categories
E! News

Wiz D atembelea Ngorongoro, Arusha

Ikiwa ni moja ya kampeni ya Serikali ya jamhuri wa muungano ya Tanzania kuutangaza utalii wa ndani msanii wa muziki kutokea visiwani Zanzibar Wiz D ameamua kuwa mfano kwa Watanzania kwa kutembelea vivutio hivyo vya utalii.

Wiz D ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo ‘Body’ aliambatana na marafiki zake na  kutembelea katika mbuga ya wanyama ya Ngorongoro iliyopo mkoani Arusha.

Angalia picha za msanii huyo akiwa matembezi hayo mbugani hapo.

Categories
Videos

New Video: Wiz D – Body

Msanii wa muziki wa kizazi kipya ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa “Body”. Video imetayarishwa na director Earth Prince.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako.

Categories
Music

New Music: Wiz D – Body

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Wiz D ameachia wimbo wake mpya unaitwa “Body”. Wimbo umetayarishwa katika studio za Ston Town Records na producer DJ Walid.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

 

Categories
Music

New Music: Wiz D – African Lady

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Wiz D ameachia wimbo wake mpya unaitwa “African Lady”. Wimbo umetayariswa na producer Bonge Jr katika studio za Minane Records.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

 

Categories
Music

New Music: Wiz D – Dondosha

Msanii wa muziki wa kizazi kipya ameachiwa wimbo wake mpya unaitwa “Dondosha” Wimbo umetayarishwa katika studio za Mandevu Records na producer Lummie pamoja na Buju.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

 

Categories
E! News

Baada ya Flana na kofia hii hapa bidhaa nyingine kutoka kwa brand ya Fly Boy ya Wiz D

Msanii wa muziki anaetamba na wimbo wa Million Dollar Love kwa sasa, Wiz D hivi karibuni alizindua bidhaa mpya ambayo iliyopo chini ya brand yake ya Fly Boy baada ya zile za mwanzo za Flana pamoja na kofia, hivi sasa amekuja biashara mpya ya juisi.

Zenji255 ilipata bahati ya kumtembelea msanii huyo na kuweza kuzungumza na kusema kuwa, mradi huo wa juisi kwake yeye hiyo ni moja ya bidhaa ambayo kwa muda mrefu alikuwa na ndoto ya kuifanya endapo akimaliza masomo yake ya chuo.

“Nilikuwa na mpango muda mrefu na sasa nimeweza kufanya na nashukuru mungu kwa hili. Muziki sio kama ndio umenishinda, hapana, ila lazima uwe mjanja katika kutafuta na lazima uwe na vitu tofauti katika maisha ili uweze kufanikiwa” Amesema Wiz D

Categories
Music

New Music: Wiz D – Million Dollar Love

Wiz D ameachia video ya wimbo wake mpya, Umeiona? Bonyeza hapa kama bado. Na kama tayari ila huna wimbo basi ondoa shaka. Wimbo mpya kutoka kwa msaanii wa muziki Wiz D unaitwa ‘Million dollar love’. Wimbo umetayarishwa katika studio za Mandevu Records na maproducer wawili Lummie na Buju.

Sikiliza hapo chini na utoe maoni yako.

 

Categories
Videos

New Video: Wiz D – Million Dollar Love

Video ya wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Wiz D unaitwa ‘Million Dollar Love’. Video imetayarishwa na 5D Production.

Angalia hapo chini na utoe maoni yako.

Categories
Music

New Music: Wiz D ft. Alpha RnB – Fly Girl

Wiz D ni msanii wa muziki toka kisiwani Zanzibar baada ya kazi yake ya kwanza (Drop it) hii ni kazi yake mpya inaitwa ‘Fly Girl’ akiwa amemshirikisha Alpha RnB.

Sikiliza hapa na utoe maoni yako

 

Categories
E! News

Wiz D azungumzia kupita katika 5 bora ya Kali za Zenji255

Msanii Wiz D amewashukuru mashabiki wake kwa kumpigia kura baada ya kupita katika 5 bora ya kali za Zenji255 katika vipengele vinne, msanii bora, wimbo bora, chipukizi bora na video bora.

wiz d

Akiongea na Zenji255 amesema kuwa ndani ya mwaka 2016 umekuwa na mafanikio makubwa kwani toka aachie wimbo wake wa ‘Drop It’ umempatia nafasi kubwa kuonekana katika muziki wa Zanzibar na kumfanya hadi kuanzisha bidhaa zake za flana, kofia zenye nembo yake ya FLY BOY.

“Kwanza, Nashukuru sana kwa mashibiki wetu kwa nguvu kubwa waliyoitoa mpaka kunifanya mtu wao kuingia mara nne katika 5 bora ya kali za Zenji255. Hii ni kuonyesha kwamba watu wa Zanzibar bado wanahitaji mambo kama haya yawepo kwa wasanii wao. Kwani kwa miaka mingi Zanzibar hayajafanyika mambo kama haya ya kuleta ushindani baina ya wasanii na wasanii.” Amesema Wiz D.

Categories
E! News

Picha: Wiz D Alivyotoa burudani katika Basket Ball Zanzibar All Star

Msanii Wiz D Wikiendi hii alitoa burudani ya aina yake katika Bonanza la Basket ball Zanzibar all star iliyofanyika katika viwanja vya gofu Maisara.

1 2 3 4 5 6 7 8

Categories
Music

New Music: Wiz D – Drop It

Baada ya kuiona video yake huu hapa ni wimbo wa Wiz D ‘Drop It’. Wimbo umetengezwa katika studio za Mandevu Records na producer Lumi na Buju.

Sikiliza na uweze kutoa maoni yako

 

Categories
Videos

New Video: Wiz D – Drop It

Msanii Wiz D ameachia kwa mpigo wimbo na video yake ya ‘Drop It’. Video imetayarishwa na director Dully Smart.

 

Categories
Videos

Video Teaser: Wiz D ‘A-tease’ wimbo mpya anatarajia kuachia

Msanii Wiz D hivi karibuni ameachia ‘teaser’ cha video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Drop It’.

wiz d

Katika video inaonekana wakali wa zenji fleva kama Rico Single na Baby J wakiwemo katika video hiyo.

Wimbo umetengenezwa katika studio Mandevu Records na Producer Lumi na Buju. Video imetayarishwa na director Dully Smart

Angalia Sekunde 24 za Teaser hiyo hap chini.

 

Categories
Music

Music: Wiz D – Down Low

Wimbo mpya wa Wiz D kutokea visiwani Zanzibar. wimbo umefanywa katika studio za Mandevu chini ya usimamizi wa Producer Buju na Lummie.