27 C
Zanzibar
Tuesday, February 25, 2020
Home Tags Smile The genius

Tag: Smile The genius

New Music: Smile The Genius – Anakudanganya

0
Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Smile the Genius, wimbo unaitwa "Anakudanganya". Wimbo umetayarishwa na producer Cat P. Sikiliza wimbo huo...

New Music: Rico Single ft. Smile The Genius & Black Fit – Bend Over

0
Kutokea visiwani Zanzibar, wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Rico Single. Wimbo unaitwa "Bend Over", akiwa amewashirikisha Smile The Genius...

Picha: Smile The Genius achaguliwa kuwa balozi wa taulo za kike (Pedi)

0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Smile the Genius amepata dili la kuwa balozi wa kugawa taulo za kike (Pedi) katika shule mbali mbali...

New Music: Abramy The Voice x Smile TheGenius – Kunywa

0
Kwa muda mrefu wasanii waliokuwa wakifanya kazi kwa pamoja chini ya mwamvuli wa wavanilla kabla ya kuvunjika Abramy na Smile wasaniii hawa hawakufanya kazi...

New Music: Smile The Genius – X Wangu

0
Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki Smile The Genius, wimbo unaitwa "X Wangu". Wimbo umetayarishwa na producer Master kutoka studio za Seriuos Music. Sikiliza...

New Video: Smile TheGenius – Bukheri

0
Baada ya kuachia wimbo mpya unaitwa "Bukheri" bonyeza hapa kama bado hujaupata, Smile TheGenius anakukaribisha kuangalia video ya wimbo huo. Video imetayarishwa na Director...

New Music: Smile The Genius – Bukheri

0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Smile the genius anawakaribisha kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa "Bukheri". Wimbo umetayarisha na producer Chidy Master katika studio...
smile

New Music: Smile – Fuku Fuku

0
Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Smile The Genius unaitwa "Fuku Fuku". Wimbo umetayarishwa na producer Fleva Noma na Bonga. Sikiliza...

New Video: Smile The Genius – Sina Hali

0
Baada ya Ti Amo, hii hapa ni video ya wimbo wake mpya unaitwa "Sina Hali" kutoka kwa msanii wa muziki Smile the Genius. Video...
smile

New Music: Smile The Genius – Sare Sare

0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Smile The genius, ameachia wimbo wake mpya unaitwa'Sare Sare'. Wimbo umetayarishwa na Producer Bunny Music. Sikiliza hapo chini na...

Follow Us

2,317FansLike
1,111FollowersFollow
106FollowersFollow
578SubscribersSubscribe
Advertisement