29 C
Zanzibar
Tuesday, February 25, 2020
Home Tags Sharo Music

Tag: Sharo Music

New Music: Sharo Music – Download

0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Sharo Music ameachia wimbo wake mpya unaitwa "Download". Wimbo umetayarishwa na producer Bonge Jr. kutoka studio za Furaha...

New Music: Sharo Music & Triple M – Zaidi

0
Wimbo mpya kutoka kwa wasanii wa muziki nkutokea visiwani Zanzibar, Sharo Music na Triple M unaitwa "Zaidi". Wimbo umetayarishwa na producer Bonge Jr. katika...
sharo music

New Music: Sharo Music – Bado

0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Sharo Music ameachia wimbo wake mpya unaitwa "Bado". Wimbo umetayarishwa katika studio za Mandevu Records na producer Lummie...

New Video: Sharo Music ft. Honey Ella – Safarini

0
Baada ya kuisikiliza wimbo wake hii hapa ni video yake Sharo Music akiwa amemshirikisha Honey Ella 'Safarini'. Video imetayarishwa na Director Panther na Dully...
sharo music

New Music: Sharo Music ft. Honey Ella – Safarini

0
Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa Sharo Music unaitwa 'Safarini' akiwa amemshirikisha Honey Ella. Wimbo umetayarishwa katika studio za Waiz Empire na producer...
sharo music

Picha: Sharo Music aonekana ‘location’ akishoot video yake mpya

0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Zanzibar, Sharo Music hivi karibuni alionekana 'location' akiwa make up artist wake akiwa katika matayarisho ya kujiandaa...
sharo music

New Music: Sharo Music – Bachela

0
Baada ya kuachia wimbo wa Nana, Sharo Music ameachia wimbo mpya unaoitwa 'Bachela' ambao umetayarishwa katika studio za Waiz Empire na producer Bonge Jr. Sikiliza...

New Video: Sharo Music ft. Smile – Nana

0
Msanii wa muziki Sharo music ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa 'Nana' akiwa amemshirikisha Smile. Video imetayarishwa na Director Panther na Dully Smart. Angalia...
sharo music

New Music: Sharo Music ft. Smile – Nana

0
Nakukaribisha kuusikiliza wimbo mpya wa Sharo Music akiwa amemshirikisha Smile. Wimbo umetayarishwa katika studio za Minane Records chini ya producer Bonge Jr. Sikiliza hapo chini  
sharo music

New Music: Sharo Music ft. Mabawa & Aloneym – Nishike

0
Msanii Sharo Music ameachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Nishike' akiwa amemshirikisha Mabawa na Aloneym. Wimbo umetayarishwa na producer Bonge Jr. Sikiliza hapa na utoe maoni...

Follow Us

2,317FansLike
1,111FollowersFollow
106FollowersFollow
578SubscribersSubscribe
Advertisement