Categories
Music

New Music: Fid Q ft. Rosa Ree – Korasi

Wimbo mpya kutoka rapa Fid Q akiwa amemshirikisha Rosa Ree, wimbo unaitwa “Korasi”. Wimbo umetayarishwa na producer Dunga katika studio za MJ Records.

Sikiliza wimbo na utoe maoni yako.

 

Categories
Music

New Music: Rosa Ree ft. Ruby – Champion

Wimbo mpya kutoka kwa mwanadada rapa Rosa Ree unaitwa “Champion” akiwa amemshirikisha Ruby.

Sikiliza na utoe maoni yako.

 

Categories
Music

Music: Rosa Ree – One Time

Kipaji kingine kutoka lebo ya The Industry chini ya usimamizi wa Nahreel na Aika ni Rosa Ree na wimbo mpya ‘One Time’.