28 C
Zanzibar
Thursday, December 12, 2019
Home Tags Rico single

Tag: rico single

New Music: Rico Single ft. Smile The Genius & Black Fit – Bend Over

0
Kutokea visiwani Zanzibar, wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Rico Single. Wimbo unaitwa "Bend Over", akiwa amewashirikisha Smile The Genius...

Barrack Obama akosoa viongozi wenye kutoa kauli za kibaguzi na chuki

0
Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amewataka Wamarekani kukataa lugha za chuki na kibaguzi kutoka kwa viongozi wao. Obama amekuwa akiongea kwa nadra tangu...
aley star

New Music: Aley Star ft. Rico Single – Chimba

0
Kama bado hujaiona video ya wimbo mpya wa Aley Star unaitwa "Chimba", kama bado bonyeza hapa kuangalia. Katika wimbo huo Aley Star akiwa amemshirikisha...

New Video: Aley Star ft. Rico Single – Chimba

0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Aley Star ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa "Chimba" akiwa amemshirikisha Rico Single. Video imetayarishwa na director...

New Video: Rico Single ft. Chege – Standard

0
Uliupata wimbo mpya wa "Standard" kutoka kwa Rico Single? Kama bado bonyeza hapa kuupata. Rico Single amekuletea video mpya ya wimbo huo akiwa amemshirikisha Chege....
Rico Single

New Music: Rico Single ft. Chege – Standard

0
Wimbo mpya kutoka kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya visiwani Zanzibar, Rico Single. Wimbo unaitwa "Standard" akiwa amemshirikisha Chege. Wimbo umetayarishwa katika...

New Video: Rico Single – Sakata

0
Baada ya kuachia wimbo wa kusikiliza wa 'Sakata' hii hapa ni video yake. Rico Single amewaletea video ya wimbo huo 'Sakata'. Video imetayarishwa na...

New Music: Rico Single – Sakata

0
Huu hapa ni fungua mwaka 2018 kutoka kwa Rico Single na wimbo wake mpya unaitwa 'Sakata'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Island Records chini...

New Video: Pozza Boy ft. Linex & Rico Single – Madebeni

0
Pozza Boy ameachia video ya wimbo wake mpya ' Madebeni' akiwa amemshirikisha Linex na Rico Single. Video imetayarishwa na Director Ivan. Angalia video hiyo hapo...

New Video: Rico Single, Baby Jay & Pozza Boy – Nakiwasha

0
Rico Single ameachia video mpya inaitwa "Nakiwasha" akiwa ameshirikiana na Baby Jay na Pozza Boy. Video imetayarishwa na Director Juhudi. Angalia hapa https://youtu.be/qsX85hBFnWc  

New Video: Rico Single – Halindwa

0
Msanii wa muziki Rico Single ameachia video ya wimbo wake mpya "Halindwa". Video imetayarishwa na director Ivan. Angalia hapo chini https://youtu.be/W3GzqYBXx4E
rico single

Picha: Rico Single alivyotoa burudani Full Moon Party Wikiendi hii

0
Msanii wa muziki Rico Single aliweza kuzifurahisha nyoyo za wageni mbali mbali waliofika katika Full Moon Party iliyofanyika siku ya Jumamosi (Machi 11) katika...

Picha: Rico Single, Bob Maghrib & Batimbo walivyotoa burudani kwa wageni katika Tamasha la...

0
Ikiwa imebakia siku moja kuendea tamati, wasanii kutoka nchi za mbali mbali za Afrika walitoa burudani katika tamasha la Sauti za Busara kwa wageni...
riso single

Rico Single kuachia wimbo wake mpya katika Tamasha la Sauti za Busara

0
Ikiwa kama ni suprise kwa mashabiki wake, Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rico Single amesema anataka kuwapa zawadi ya wimbo wake mpya mashabiki...

New Video: Rico Single -Yani Raha

0
Msanii Rico Single ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa 'Yani Raha'. Video imetayarishwana Director Ivan. Angalia hapo chini na utoe maoni yako https://youtu.be/cCM32ec9G7o
rico single

Yani Raha Video Launch

0
Island Records Zanzibar Presents: Uzinduzi wa video ya Rico Single 'Yani Raha'. Wasanii watakao sindikiza Juma Town, Mubacriss na Sister Rahima na wengine kibao. Imedhaminiwa...

Video Teaser: Rico Single atoa kionjo kifupi cha video yake mpya ‘Yani Raha’

0
Msanii Rico Single ameachia kionjo kifupi cha video ya wimbo wake mpya 'Yani Raha' ambayo aliyofanya wiki kadhaa zilizopita. Akiongea na Zenji255 Rico amesema maandalizi...

Picha: Rico Single ashoot video ya wimbo wake ‘Yani Raha’

1
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rico Single hivi karibuni alionekana akishoot video ya wimbo wake mpya 'Yani Raha' katika maeneo tofauti visiwani Zanzibar. Akizungumza...
rico

Rico Single azungumzia maazimio yaliyotolewa katika kikao walichofanya na viongozi wa Zanzibar

0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rico Single amezungumzia kuhusiana na maazimio ya kikao walichofanya kati ya wasanii na baadhi ya viongozi wa serikali...

Follow Us

2,292FansLike
1,113FollowersFollow
106FollowersFollow
545SubscribersSubscribe
Advertisement