Categories
Music

New Music: Muslee – Alele

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea visiwani Zanzibar, Muslee wimbo unaitwa “Alele”. Wimbo umetayarishwa na producer Chilly K katika studio za Action Music.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

 

Categories
Music

New Music: Muslee ft. Hemedy Music – Chaunabe

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya anaitwa Muslee, wimbo unaitwa “Chaunabe” akiwa amemshirikisha Hemedy Music. Wimbo umetayarishwa katika studio za Action Music na producer Chilly K.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

 

Categories
Music

New Music: Muslee – Binadam

Wimbo mpya kutoka kwa kipaji kipya katika lebo ya Action Music, Muslee ameachia wimbo unaitwa “Binadam”. Wimbo umetayarishwa na producer Chilly K.

Usikilize hapo chini wimbo huo na utoe maoni yako.