26 C
Zanzibar
Sunday, July 21, 2019
Home Tags Matukio

Tag: matukio

pirika

Picha: Pirika pirika za maandalizi ya futari soko la Darajani

Ikiwa ni siku ya 7 katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, Mpiga picha katika pita pita zake aliona pirika pirika za wananchi wa Zanzibar wakiwa...
nokia 3310

Picha: Nokia 3310 imerudi na muundo mpya

Je ulishawahi tumia simu ya Nokia 3310? Na unaukumbuka muundo wake ulivyokuwa? Basi imezinduliwa tena rasmi baada ya miaka 17. Wengi wanaiona simu hiyo kuwa...
NASA

NASA wagundua sayari nyingine 7 zenye ukubwa sawa na Dunia

Wataalamu wa masuala ya anga za juu wa Marekani NASA wakishirikiana na wengine duniani, wamefanya ugunduzi mkubwa wa sayari saba zenye ukubwa sawa na...
zantel

ZANTEL na BAKWATA wazindua huduma mpya ‘ZANTEL Madrassa’ jijini Dar es Salaam

Kampuni ya Zantel kwa kushirikiana na Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) imezindua huduma mpya inayojulikana kama ‘Zantel Madrasa’ ambayo itawawezesha waumini wa dini ya...
equity bank

Picha: Ufunguzi wa tawi jipya la benki ya Equity Bank

Waziri wa Ardhi Maji na Nishati na Mazingira Zanzibar, Mhe. Salama Aboud Talib jana Jumatano Feb 15 alifungua tawi jipya la benki ya Equity...
sauti za busara

Picha: Ufunguzi wa Tamasha la sauti za Busara katika mnara wa kumbukumb, Kisonge

Tamasha la Sauti za Busara jana Alhamis (Feb.9) limefanya ufunguzi wake rasmi kwa kutoa burudani mbali mbali katika viwanja vya mnara wa kumbukumbu wa...
kidato

Haya hapa ni matokeo ya Kidato cha Pili

Baada ya siku kadhaa Baraza la mitihani NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne (FORM IV) nayo Wizara ya Elimu na Mafunzo ya amali Zanzibar...
sauti za busara

Ubalozi wa Uswiss watoa mchango wa Mil. 260 kwa tamasha la Sauti za Busara

Ubalozi wa Uswiss nchini umechangia zaidi ya shilingi milioni 260 ili kuwezesha Tamasha la Muziki la Sauti za Busara Zanzibar kwa miaka mitatu ijayo....
mhubiri

Mhubiri afariki dunia na kuacha wake 86, watoto 170 Nigeria

Mhubiri mmoja wa zamani wa Kiislamu nchini Nigeria ambaye alikuwa na takriban wanawake 86 ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 93. Mohammed Bello Abubakar...
miaka 70

Mzee wa miaka 70 ajipeleka jela makusudi ili kumtoroka mkewe

Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 70 kutoka eneo la Kansas nchini Marekani amekiri kushiriki katika wizi wa benki siku ya Jumanne akisema alifanya...
watu 14

Watu 14 wafukiwa mgodini Geita

Watu 14 akiwemo raia wa china, wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa katika mgodi wa dhahabu wa Kampuni ya RZ Union Mining Ltd uliopo Kata...

Follow Us

2,277FansLike
1,112FollowersFollow
106FollowersFollow
465SubscribersSubscribe
Advertisement