26 C
Zanzibar
Sunday, June 7, 2020
Home Tags Mantuzzo

Tag: mantuzzo

New Music: Makalasinga ft. Mantuzzo – Nasaka Demu

0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea kisiwani Pemba, Makalasinga ameachia wimbo wake mpya unaitwa "Nasaka Demu" akiwa amemshirikisha Mantuzzo. Wimbo umetayarishwa katika studio...
mantuzzo

Mantuzzo azungumzia kuhusu ukimya wake na ujio wake mpya

0
Kwa muda mrefu msanii Mantuzzo ameonekana kuwa kimya katika sanaa yake ya muziki, na vile vile amezungumzia kuhusiana na ujio wake mpya baada ya...
mantuzzo

‘Wasanii wa Zanzibar wanapenda vitu vya bei rahisi’ – Mantuzzo

0
Msanii Mantuzzo asema asilimia nyingi ya wasanii wa Zanzibar huwa wanapenda vitu vya bure kuanzia muziki wao mpaka ufanyaji wao wa kazi. Akizungumza na Zenji255...
mantuzzo

Mantuzzo asema uwezo wake wa kufanya video ni Milioni 5

0
Ukitaka kutengeneza video kali, zenye viwango vya kimataifa ni lazima ugharamike pesa nyingi sana. Kuna baadhi ya wasanii kwao wao huwa ni ngumu sana...
mantuzzo

‘Sijabahatika kuoa bado ila natangaza ndoa kama kuna mchumba anaetaka kuolewa’ – Mantuzzo

0
Msanii wa kizazi kipya kutoka Zanzibar, Mantuzzo amefunguka kuhusiana na taarifa zinazoenea mitaani kwa kuambiwa kuwa ameoa kimya kimya. Akizungumza na Zenji255 Mantuzzo "Kiukweli kwa...
mantuzo

Baada ya kufanya kazi na Barnaba, Mantuzo aelezea msanii anayefuata

0
Hit Maker wa furaha yangu 'Mantuzo' baada ya wimbo wake huo kufanya vizuri na mashabiki kuzikubali kazi zake, ameamua kufunguka na kusema msanii gani...
mantuzzo

Music: Mantuzzo feat. Barnaba – Furaha yangu

0
Msanii kutoka kusini mwa Tanzania ambaye anayefanya kazi zake visiwani Zanzibar Mantuzzo, amefungua mwaka kiaina yake na wimbo mpya 'Furaha Yangu' akiwa amemshirikisha Barnaba....

Follow Us

2,319FansLike
1,102FollowersFollow
106FollowersFollow
578SubscribersSubscribe
Advertisement