24 C
Zanzibar
Friday, May 24, 2019
Home Tags Mambo na vijimambo

Tag: mambo na vijimambo

watu 14

Watu 14 wafukiwa mgodini Geita

Watu 14 akiwemo raia wa china, wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa katika mgodi wa dhahabu wa Kampuni ya RZ Union Mining Ltd uliopo Kata...

Watafiti wasema watu wengi huzeeka haraka kwa sababu hawafanyi mazoezi

Wanawake wenye umri mkubwa wanaoishi bila kufanya mazoezi, wanazeeka haraka kuliko wale hufanya mazoezi kila siku. Utafiti uliofanyiwa wanawake 1500 wenye umri wa kati ya...
boflo

#TBT: Unakumbuka Kipindi mkate wa boflo ulivyokuwa dili?

Katika pekua pekua yangu ya kujikumbushia siku ya leo ikiwa ni Throw Back Thursday nilikutana na picha ambayo nilishangaa na kufurahi baada ya kuiona...
nabii

Picha: Nabii awanywesha waumini kemikali ya kusafishia injini ili kuondoa Mapepo

Mtu mmoja anayejiita Nabii nchini Afrika Kusini amezua taharuki baada ya picha kusambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha akiwanywesha waumini wake kemikali ya kusafishia...
mwanamke

Mwanamke mwenye uzito mkubwa kusafirishwa India kwa ndege ya mizigo

Hospitali moja ya India inajenga kituo muhimu cha matibabu ambacho mwanamke mmoja wa Misri anayeaminika kuwa mzito duniani akiwa na kilo 500 atafanyiwa upasuaji...
ubongo

Atiwa mbaroni kwa kumuua mwenzake na kuula ubongo na sehemu zake za siri

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, linamshikilia mchimba dhahabu, Shija Salum (38), mkazi wa Kahama mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kumuua rafiki yake na...
talaka

Mahakama India yapiga marufuku talaka tatu

Mahakama moja kaskazini mwa India, imefutilia mbali utaratibu wa dini ya kiislamu wa talaka tatu ambao unampa nafasi mwanamume wa kiislam kumuacha mkewe kwa...
jiwe

Jiwe lenye amri 10 za mungu lauzwa dola 850,000 Marekani

Jiwe la kale zaidi lenye amri kumi za Mungu limeuzwa kwenye mnada nchini Marekani kwa dola 850,000. Jiwe hilo ambalo lina urefu wa sentimita 60...
matibabu

Akosa matibabu baada ya urefu wake kuzidi mashine na vitanda

Kijana Baraka Elias Mashauri mwenye umri wa miaka 35 mkazi wa Musoma mkoani Mara ameshindwa kupata matibabu katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) kutokana...
hitler

Nguo ya ndani ya mke wa Hitler yauzwa laki 8 kwenye mnada

Nguo ya ndani ya mke wa Adolf Hitler Eva Braun imeuzwa katika mnada kwa pauni 3000. Suruali hiyo ikiwa ni miongoni mwa vitu vyengine vya...
nyoka

Ukiipata sumu ya nyoka huyu, ni dawa tosha ya kupunguza machungu!

Nyoka mwenye sumu kali zaidi duniani huenda akawa jibu la kupatikana dawa ya kupunguza uchungu. Hii ni kwa mujibu ya wanasayansi. Nyoka anayejulikana kama 'Blue...
dunia

Mvumbuzi wa nepi za kutupwa afariki dunia akiwa na miaka 94

Valerie Hunter Gordon, mama wa watoto sita aliyevumbua nepi za kutumiwa na kutupwa ameaga dunia nyumbani kwake karibu na Inverness akiwa na umri wa...
duniani

10 bora ya mataifa yenye wanafunzi werevu duniani

Katika kutathmini viwango vya elimu duniani, wengi wamekuwa wakiangazia sana ubora wa vyuo. Lakini kwa jumla, ni mataifa gani yenye wanafunzi walio bora zaidi? Jambo...
bomu

Jambazi ajeruhi askari na raia wanne kwa bomu Kigoma

Polisi na raia wanne wamejeruhiwa kwa bomu la kutupwa kwa mkono walipokuwa wakimkamata mtuhumiwa wa ujambazi kwenye Kijiji cha Uvinza mkoani Kigoma. Kamanda wa...
wachina

Wachina wakamatwa Mtwara, wakutwa wakibadili Expire date kwenye dawa

Watu watano wakiwemo raia wawili wa China na Watanzania watatu wamekamatwa Mtwara kwa kutuhumiwa kubadili tarehe zilizokwisha muda wa matumizi kwenye dawa za kilimo...
simba

Simba Motors kutengeneza gari la kwanza Tanzania, Desemba 2016

Kampuni ya Simba Motors imesema ina mpango wa kujenga kiwanda cha kuunganisha magari aina ya pick-up ambacho kitaanza kuzalisha magari kabla ya Desemba 30,...
india

Msichana afariki kwa kufunga kwa hiari siku 68 India

Polisi nchini India wanachunguza wazazi wa msichana mwenye umri wa miaka 13 aliyefariki wiki iliyopita baada ya kufunga kwa siku 68 kama ibada. Polisi kusini...
tanzania

Mfahamu mzee Laiboni ana watoto 70 na wajukuu 300 Tanzania

Nchini Tanzania katika mkoa wa Arusha wilayani Monduli, mzee mwenye zaidi ya miaka 100 ana watoto zaidi ya 70 na wajukuu 300. Mzee Meshuko Ole...

Follow Us

2,252FansLike
1,121FollowersFollow
107FollowersFollow
441SubscribersSubscribe
Advertisement