26 C
Zanzibar
Sunday, July 21, 2019
Home Tags Ligi Kuu Zanzibar

Tag: Ligi Kuu Zanzibar

kmkm

Ligi Kuu Zanzibar: KMKM yaichakaza Kilimani City 2-0

Klabu ya Mabaharia wa KMKM jioni ya jana imefanikiwa kupata alama tatu muhimu baada ya kuifunga Kilimani City 2-0 katika mchezo wa ligi kuu...
ligi kuu Zanzibar

Ligi Kuu Zanzibar: Malindi watandikwa 1-0 na Mafunzo

Ligi kuu Zanzibar kanda ya Unguja imeendelea tena hapo jana Jumanne (Jan. 31) ambapo timu ya Wanajela jela (Mafunzo) imeweza kuiadhibu timu ya Malindi...
taifa jang'ombe

Ligi Kuu Zanzibar raundi ya lala salama kuanza jumatano hii

Mzunguko wa lala salama ligi kuu Zanzibar kanda ya Unguja unatarajiwa kuanza rasmi kesho kutwa Jumatano Januari 25, 2017 kwa kupigwa michezo miwili katika...
ligi kuu

Ligi Kuu Zanzibar: Jang’ombe Boyz yamfunga KVZ, Chuoni wafungwa na Miembeni

Ligi kuu ya Zanzibar imeendelea hapo siku ya jana Novemba 17 kwa kuzikutanisha mechi tatu katika viwanja tofauti. Timu ya maafande wa KVZ jana usiku...
ligi kuu

Msimamo wa ligi kuu ya Zanzibar 2016 – 17

Ligi kuu visiwani imefikia katika mzunguko wa 7 ambapo umemalizikia kimtindo baada ya timu ya JKU kuishusha nafasi ya kwanza timu ya Polisi na...
ligi kuu

Msimamo wa ligi kuu ya Zanzibar

Zenji255 inakusogezea msimamo ya ligi kuu ya Zanzibar.
ligi kuu

Ratiba ya ligi kuu ya Zanzibar msimu wa 2015 / 16 yatoka

Chama cha mpira wa miguu Zanzibar ZFA imetoa ratiba ya ligi kuu visiwani msimu wa mwaka 2015/16. SIKU TAREHE M  H/ TEAM VS A/ TEAM VENUE & TIME TENTH ROUND J’NNE 23/8/16 37 AFRICAN KIVUMBI VS MWENGE SAA 10 ...
kikapu

Picha: Ligi kuu mpira wa kikapu, Africa Magic washinda 100 – 32 dhidi ya...

Ligi kuu ya mpira wa kikapu Zanzibar ikiwa inaendea ukingoni, hapo jana zilikutana timu mbili za wanawake kati ya Africa Magic na New West....
ligi kuu

Msimamo wa ligi kuu Zanzibar hatua ya Nane bora

Zenji255 inakusogezea matokea yote ya ligi kuu ya Zanzibar katika hatua nane bora msimu wa 2015 - 2016. POS TIMU P W D L GF GA GD PTS 1 ZIMAMOTO 6 4 2 - 10 3 7 14 2 KVZ 6 4 1 1 11 5 6 13 3 JKU 6 3 2 1 9 4 5 11 4 JAMHURI 6 2 3 1 8 5 3 9 5 MAFUNZO 6 2 1 3 10 8 2 7 6 CHIPUKIZI 6 2 1 3 8 10 -2 7 7 MWENGE 6 1 2 3 5 10 -5 5 8 AFR/KIVUMBI 6 - - 6 4 20 -16 - Jumla ya mabao 65 yamefungwa kupitia michezo...
ligi kuu

Picha: Ligi Kuu ya Zanzibar kati ya KVZ na Mafunzo

Ligi kuu ya Zanzibar hatua ya nane bora jana iliendelea katika viwanja vya Amani Zanzibar ambapo ilikutanisha timu mbili kati ya KVZ na Timu...
ligi

Picha: Ligi daraja ya pili kati ya Uhamiaji na Milimani

Ligi daraja la pili Taifa hatua ya nane bora imeendelea hapo jana katika viwanja vya Amani Zanzibar ambapo ilikutanisha timu mbili kati ya Uhamiaji...
ligi kuu

Msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar

Ligi kuu ya Zanzibar bado inaendelea na Vilabu vitatu kati ya vinne vitakavyoingia hatua na nane bora kwa upande wa Unguja vimeshajulikana huku mtifuano...
PBZ

Benki ya PBZ Yaidhamini Timu ya Miembeni vifaa vya michezo

Meneja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Ndg. Mussa Mvita akizungumza na waandishi wa habari za michezo Zanzibar wakati wa hafla ya...
mapinduzi cup

Huu hapa ni msimamo wa ligi kuu ya Zanzibar

Ligi kuu ya Zanzibar inaendelea na hii leo Mei 24 timu ya Chuoni FC itakuwa uwanjani na Kimbunga FC. mechi hiyo itachezwa katika uwanja...

Mundu FC waifunga White Bird 1-0 katika Ligi Kuu Daraja la Kwanza, Uwanja wa...

Ligi kuu ya Zanzibar inaendelea katika kiwanja cha Amani na ilikutanisha timu mbili za Mundu FC na White Bird FC, ambapo Mundu iliibuka na...

Follow Us

2,277FansLike
1,112FollowersFollow
106FollowersFollow
465SubscribersSubscribe
Advertisement