26 C
Zanzibar
Sunday, July 21, 2019
Home Tags Lady jay dee

Tag: Lady jay dee

diamond

Diamond azungumzia kuhusiana na Collabo na Jay Dee

Baada ya kilio cha muda mrefu kutoka kwa mashabiki waliotamani kuona Diamond Platnumz na mwanadada Lady Jay Dee wakifanya kazi pamoja, wakali hao wa...
lady jay dee

Picha: Show ya Lady Jay Dee ‘Naamka Tena Tour’ Intebe

Wikiendi hii mwanadada na mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Lady Jay Dee alifanya ziara yake visiwani Zanzibar ikiwa ni moja ya 'Naamka Tena'...

New Video: Lady Jaydee – Sawa Na Wao

Msanii mkongwe wa muziki, Lady Jaydee, ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Sawa na Wao’. Video imeandaliwa na kampuni ya Phenomenal chini ya director,...

New Video: AY – El Capo

AY ameachia kwa kushtukiza video ya ngoma yake El Capo iliyotayarishwa na Marco Chali huku video ikiongozwa na Shedi Pro. Kwenye wimbo huu, AY...
waziri

Waziri Kigwangalla Amtaka Gardner Aombe Radhi kwa Kumdhalilisha Lady Jaydee

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Hamis Kigwangalla, amemtaka mtangazaji wa Clouds FM, Gardner G Habash kumuomba radhi aliyekuwa...
video

New Video: Lady Jaydee – Ndindindi

kwa mara ya kwanza iangalie video ya wimbo wa Lady Jaydee ‘Ndindindi’ iliyoongozwa na Justin Campos.    
Lady jaydee

28 DAYS TO GO: LADY JAYDEE OFFICIAL COUNT DOWN #NaamkaTena (VIDEO)

Mkongwe wa muziki wa bongo fleva Lady Jaydee ametangaza rasmi kurudi tena kwenye muziki baada ya ukimya wa muda kidogo kwenye muziki. Lady Jaydee...

Follow Us

2,277FansLike
1,112FollowersFollow
106FollowersFollow
465SubscribersSubscribe
Advertisement