26 C
Zanzibar
Monday, September 23, 2019
Home Tags Kinde makengele

Tag: kinde makengele

New Video: Kinde Makengele – Sikujua

Video ya wimbo mpya kutoka kwa mwanamuziki Kinde Makengele unaitwa "Sikujua". Video imetayarishwa mna director Modi Peru. Angalia video hiyo na utoe maoni yako. https://youtu.be/LCkWxnKqkk4
kinde makengele

New Music: Kinde Makengele – Sikujua

Mwanamuziki Kinde Makengele ameachia wimbo wake mpya unaitwa "Sikujua". Wimbo umetayarishwa katika studio za Jupiter Records na producer Bonge Jr. Sikiliza wimbo huo hapo chini...

New Video: Kinde Makengele – Ukweli Wangu

Kinde Makengele ameachia video ya wimbo wake mpya "Ukweli Wangu". Video imatayarishwa na Director Modi Peru. Angalia hapa na utoe maoni yako. https://youtu.be/WRhirhtNWKc  
Kinde Makengele

New Music: Kinde Makengele – Ukweli Wangu

Mwanamuziki Kinde Makengele ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'Ukweli Wangu'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Mandevu Records na Producer Buju na Lummie. Sikiliza hapa na...
kinde makengele

Picha: Hili ndilo jina jipya baada Kinde Makengele kufunga ndoa

Mpiga gita na Muimbaji wa muziki wa kizazi kipya, Kinde Makengele jana Ijumaa (Jan. 27) alifunga ndoa na mwanamuziki mwenzake Faiza maarufu kama Faay...
kinde

New Music: Kinde Makengele – Kidogo Kidogo

Msanii Kinde Makengele ameachia wimbo wake mpya 'Kidogo Kidogo'. Wimbo umetengenezwa na producer Flever Noma.  
kinde

New Music: Kinde Makengele ft. Ommy Minor – Chakupewa

Kinde Makengele au huitwa 'mzee wa nzoko nzoko' ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'Chakupewa' akiwa amemshirikisha Ommy Minor. Wimbo umetengezwa katika Studio za Mandevu...
kitu bolite

Music: Kinde Makengele ft. Aloneym – Kitu Bolite

'Kitu Bolite' maana yake ni kitu kikubwa chenye ladha za kutisha ndani yake. Kinde Makengele akiwa ameshirikiana na Aloneym ambaye ndie producer wa wimbo...

Follow Us

2,282FansLike
1,111FollowersFollow
106FollowersFollow
499SubscribersSubscribe
Advertisement