26 C
Zanzibar
Monday, September 23, 2019
Home Tags Ison mistari

Tag: ison mistari

Barrack Obama akosoa viongozi wenye kutoa kauli za kibaguzi na chuki

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amewataka Wamarekani kukataa lugha za chuki na kibaguzi kutoka kwa viongozi wao. Obama amekuwa akiongea kwa nadra tangu...

New Video: Ison “Zenj Boy” Mistari ft. G Nako – Mazabe

Video ya wimbo mpya kutoka "Zenj Boy" Ison Mistari unaitwa "Mazabe" akiwa amemshirikisha G.Nako. Video imetayarishwa na director Hanscana. Angalia video hiyo na utoe maoni...

New Video: Wigo ft. Public & Ison Mistari – Nipe

Baada ya kuusikiliza wimbo mpya wa Wigo Fleva unaitwa "Nipe" hii hapa ni video ya wimbo huo akiwa amemshirikisha Public na Ison Mistari. Video...

New Music: Wigo ft. Public & Ison Mistari – Nipe

Wimbo mpya kutoka kwa mwanamuziki Wigo unaitwa "Nipe" akiwa amemshirikisha Public na Ison Mistari. Wimbo umetyarishwa na producer Lummie na Buju katika studio za...

New Music: Zenji Boy ft Wamoto – Tunaishi Nao

Wimbo mpya kutoka kwa rapa Ison Mistari 'Zenji Boy' unaitwa "Tunaishi Nao" akiwa amemshirikisha Wamoto. Wimbo umetayarishwa na producer Kenny Touchez kutoka studio za...

New Video: Ison Mistari – Zenji Boy

Video ya wimbo mpya kutoka rapa wa muziki wa kizazi kipya Ison Mistari wimbo unaitwa "Zenji Boy". Video imetayarishwa na studio za motion visual. Angalia...

New Video: Ison Mistari – Monster

Rapa wa muziki wa kizazi kipya Ison Mistari ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa "Monster". Video imetayarishwa na director Maxamilyonne. Angalia video hiyo na...

New Video: Ison Mistari – Sina Hakika na Kesho

Rapa kutoka lebo ya Stone Town Records ameachia video ya wimbo mpya inaitwa "Sina Hakika na Kesho". Video imetayarishwa na director Dr. Tawakal. Angalia hapo...

New Video: Ison Mistari ft. Reallionare – No place like home

Umeshausikiliza wimbo mpya wa Ison Mistari? Bado Bonyeza hapa. Na kama tayari hii hapa ni video mpya ya wimbo huo. Video imetayarishwa na director...
ison mistari

New Music: Ison Mistari ft. Reallionare – No place like home

Kutoka lebo ya Stone Town Records wimbo mpya kutoka kwa Ison Mistari akiwa amemshirikisha rapa kutoka Marekani, Reallionare Jream. Wimbo unaitwa 'No place like...

New Video: Ison Mistari – My Talent

Kama uliwahi kuisikiliza wimbo wake, sasa hii hapa ni video mpya ya wimbo wa 'My Talent' kutoka kwa Ison Mistari. Video imetayarishwa na Mirjam...
shamy boy

New Music: Shamy Boy ft. Ison Mistari – Kanipa

Rapa kutokea lebo ya Stone Town Records, Shamy Boy ameachia wimbo wake unaitwa "Kanipa" akiwa amemshirikisha Ison Mistari. Wimbo umetayarishwa katika studio za Island...
ison

New Music: Ison Mistari – My Talent

Rapa kutokea lebo ya Stone Town Records, Ison Mistari ameachia wimbo wake mpya unaoitwa 'My Talent'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Stone Town Records...
Ison

Hizi hapa ni sera 3 endapo Ison Mistari atapewa nafasi ya kugombania urais

Kila binadamu huwa na ndoto kubwa zinazoweza kusaidia kuleta mafanikio kwa njia moja ama nyingine ili kuweza kujikwamua na umaskini. Kwa rapa Ison Mistari...
ison

Picha: Ison alivyotoa burudani katika Usiku wa Tamaduni Muzik

Show ya Tamaduni iliyofanyika Jumamosi hii katika viwanja vya Kilinge jijini Dar es salaam ilikuwa ni show ya aina yake ambapo ilishirikisha marapa mbali...

New Video: Ison Mistari – Nani Nilimkosea

Msanii wa muziki, Ison Mistari ameachia video ya wimbo wake 'Nani Nilimkosea'. Video imetayarishwa na Director Abdul Jafary (NAD Edutainment). https://youtu.be/wlTnQnaOpMc
ison mistari

Picha: Siti & The Band, Ison Mistari, Kali na Asali walivyotoa burudani katika uzinduzi...

Siku ya Jumapili (Feb .5) Ilikuwa ni usiku wa uzinduzi wa video mpya ya 'Nani Nilimkosea' ya rapa Ison Mistari. Kiukweli watu wengi walifurahi Mapinduzi...
Ison

Ison Video Release ‘Nani Nilimkosea’

Stone Town Records Presents: Ison Mistari 'Nani Nilimkosea' Official Video Release.
ison mistari

One The Incredible, Ison Mistari na Clint Fierce kuachia collabo yao Machi 3

Ikiwa imesalia siku moja kuendea uzinduzi wa video yake mpya siku ya Jumapili (Feb.5), kuna collabo ambayo Ison Mistari ameshirikishwa na rapa One the...

Sultan King, Ison Mistari kuzindua video zao wikiendi hii

Katika moja ya ahadi zilizokuwa zinasubiriwa kutimizwa kwa mashabiki wa muziki ni hizi hapa. Wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Sultan King na Ison...

Follow Us

2,282FansLike
1,111FollowersFollow
106FollowersFollow
499SubscribersSubscribe
Advertisement